Mwaliko wa Harusi
Familia ya marehemu Godfrey Mushi na Dr. Catherine Mung'ong'o wa Arusha,
wanayo furaha kukualika
KWENYE HARUSI YA KIJANA WAO MPENDWA
Moses
&
Magdalena
ITAKAYOFANYIKA KANISA LA KKKT ENGARENAROK
SAA SITA NA NUSU MCHANA; TUJALI MUDA
UKUMBI
PREMIUM PARK GARDEN SAKINA ARUSHA
2025
JUMAMOSI
DEC | 13
10:30 JIONI
UKUMBINI
UKUMBINI
0789 816 768 KAANA
0713 226 400 NOELLE
Tafadhali thibitisha ushiriki wako
Jaza taarifa hapa chini ili kuthibitisha ushiriki wako katika harusi ya Moses & Magdalena
Taarifa hii inatumiwa kwa kumbukumbu ya mpangilio wa wageni.